Spika wa Bunge, Mhe. Job Ndugai
akizungumza na Balozi wa Tanzania Nchini Sweden, Dkt. Willibrod Slaa wakati
Balozi huyo alipomtembelea nyumbani kwake Jijini Dodoma.
|
Spika wa Bunge, Mhe. Job Ndugai
akifurahi jambo na Balozi wa Tanzania Nchini Sweden, Dkt. Willibrod Slaa wakati
Balozi huyo alipomtembelea nyumbani kwake Jijini Dodoma.
|
No comments:
Post a Comment