KAMATI YA UKIMWI YAKUTANA NA MAMLAKA YA KUPAMBANA NA KUDHIBITI MADAWA YA KULEVYA NCHINI
Mwenyekiti wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Masuala ya Ukimwi Mheshimiwa
Oscar Mukasa akielezea jambo alipokuwa akiongoza Kikao cha Kamati hiyo
kilichokutana leo Jijini Dodoma kupokea Taarifa ya Utekelezaji wa Sheria ya
kupambana na Dawa za Kulevya Na. 5 ya mwaka 2015 iliyowasilishwa na Watendaji
kutoka Mamlaka ya Kudhibiti na Kupambana na Madawa ya Kulevya hapa nchini
wakiongozwa na Kamishna Jenerali Rogers Siyanga.
Mjumbe
wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Masuala ya Ukimwi Mheshimiwa Godfrey Mgimwa
akichangia jambo katika Kikao cha Kamati hiyo kilichokutana hii leo Jijini Dodoma
kupokea Taarifa ya Utekelezaji wa Sheria ya kupambana na Dawa za Kulevya Na. 5
ya mwaka 2015.
Wajumbe wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Masuala ya Ukimwi wakifuatilia
jambo kwenye Taarifa ya Utekelezaji wa Sheria ya kupambana na Dawa za Kulevya
Na. 5 ya mwaka 2015 iliyowasilishwa na Watendaji kutoka Mamlaka ya Kudhibiti na
Kupambana na Madawa ya Kulevya hapa nchini wakiongozwa na Kamishna Jenerali
Rogers Siyanga.
Mjumbe
wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Masuala ya Ukimwi Mheshimiwa Flatei Massay akichangia
jambo katika Kikao cha Kamati hiyo kilichokutana hii leo Jijini Dodoma kupokea
Taarifa ya Utekelezaji wa Sheria ya kupambana na Dawa za Kulevya Na. 5 ya mwaka
2015.
No comments:
Post a Comment