KAMATI YA UONGOZI YA CHAMA CHA MASPIKA WA MABUNGE YA JUMUIYA YA MADOLA KANDA YA AFRIKA (CPA - AFRIKA) YATEMBELEA SOKO LA KIHISTORIA LA WATUMWA LA MKUNAZINI, MJINI UNGUJA, ZANZIBAR
Spika wa Bunge Mheshimiwa Job
Ndugai (Mb), (aliyesimama katikakati) na ujumbe wake ambao ni Kamati ya Uongozi
ya Chama cha Maspika wa Mabunge ya Jumuia ya Madola Kanda ya Afrika (CPA - Afrika)
wametembelea soko la watumwa lililopo Stone Town Mjini Unguja.
Kamati ya Uongozi ya Chama cha
Maspika wa Mabunge ya Jumuiya ya Madola Kanda ya Afrika (CPA - Afrika)
ikiongozwa na Spika wa Bunge Mheshimiwa Job Ndugai wakisikiliza maelezo
kuhusiana na biashara ya utumwa katika madhabahu ya kanisa la Angalikana
liliojegwa mahsusi kwa ajili ya kukomesha bishara ya utumwa wakati wa ukoloni
katika eneo la Mkunazini Mjini Unguja.
Spika wa Bunge la Sierra leone Dkt
Abbas Bundu( wapili kutoka kushoto) akiuliza swali wakati Kamati ya Uongozi ya
Chama cha Maspika wa Mabunge ya Jumuia ya Madola Kanda ya Afrika (CPA - Afrika)
inayoongozwa na Spika wa Bunge Mheshimiwa Job Ndugai walipotembelea katika Soko
la Watumwa lijulikanalo kama Stone Town Mjini Unguja.
Spika wa Bunge Mheshimiwa Job
Ndugai (Mb), (aliyesimama katikakati) akiwa katika picha ya pamoja na ujumbe wake ambao ni Kamati ya Uongozi
ya Chama cha Maspika wa Mabunge ya Jumuia ya Madola Kanda ya Afrika (CPA - Afrika)
walipotembelea soko la watumwa Mkunazini lililopo Stone Town Mjini Unguja.
Spika wa Bunge Mheshimiwa Job
Ndugai (wapili kutoka kulia) akiwa na ujumbe wake wa Kamati ya Uongozi ya Chama
cha Maspika wa Mabunge ya Jumuia ya Madola Kanda ya Afrika (CPA - Afrika) wakisikiliza
maelezo kuhusiana na biashara ya utumwa katika eneo la Mkunazini (Stone Town) Mjini Unguja.
No comments:
Post a Comment