|
Makatibu Kamati wa Ofisi ya Bunge wakiwa katika kikao cha
kuandaa Taarifa kuhusu Usimamizi wa Utekelezaji wa Malengo
ya Maendeleo
Endelevu (SDGs) katika Bunge.Kikao hicho
kimefanyika katika Ofisi za Bunge
Jijini Dodoma
|
Mwenyekiti wa
Kikao cha kuandaa Taarifa kuhusu Usimamizi wa Utekelezaji wa Malengo ya
Maendeleo Endelevu (SDGs) katika Bunge Ndg. Athuman Hussen akiongoza kikao
hicho kilichowahusisha Makatibu Kamati kutoka Ofisi ya Bunge
kilichofanyika leo katika Ofisi za Bunge Jijini Dodoma
|
Makatibu Kamati wa Ofisi ya Bunge wakiwa katika kikao cha
kuandaa Taarifa kuhusu Usimamizi wa Utekelezaji wa Malengo
ya Maendeleo
Endelevu (SDGs) katika Bunge.Kikao hicho
kimefanyika katika Ofisi za Bunge
Jijini Dodoma
|
No comments:
Post a Comment