WELCOME TO TANZANIA NATIONAL ASSEMBLY OFFICIAL BLOG: CONTACT US: P.O.BOX 941 DODOMA, TANZANIA, WEBSITE: parliament.go.tz , FIND US ON FACEBOOK >>> www.facebook.com/bungetz1, FOLLOW US ON TWITTER >>> @bunge_tz.>>>KARIBUNI

Friday, October 12, 2018

MAKATIBU KAMATI WAKUTANA KUANDAA TAARIFA YA USIMAMIZI WA UTEKELEZAJI WA MALENGO YA MAENDELEO ENDELEVU

Makatibu Kamati wa Idara ya Kamati za Bunge wakifuatila jambo Kikao cha cha kuandaa Taarifa ya usimamizi wa Utekelezaji wa Malengo ya Maendeleo Endelevu (Lengo namba 9, Kipengele cha Miundombinu), Kikao hicho kilifanyika leo Ofisi za Bunge Jijini Dodoma.


Katibu Kamati Ndg. Stanslaus Kagisa akielezea jambo katika Kikao cha Makatibu Kamati kilichofanyika leo Ofisi za Bunge Jijini Dodoma kwa ajili ya kuandaa Taarifa ya usimamizi wa Utekelezaji wa Malengo ya Maendeleo Endelevu ya (Lengo namba 9, Kipengele cha Miundombinu)


Katibu Kamati Ndg. Agnes Nkwera akielezea jambo katika Kikao cha Makatibu Kamati kilichofanyika leo Ofisi za Bunge Jijini Dodoma kwa ajili ya kuandaa Taarifa ya usimamizi wa Utekelezaji wa Malengo ya Maendeleo Endelevu ya (Lengo namba 9, Kipengele cha Miundombinu)
 

Katibu Kamati Ndg. Victor Mhagama akielezea jambo katika Kikao cha Makatibu Kamati kilichofanyika leo Ofisi za Bunge Jijini Dodoma kwa ajili ya kuandaa Taarifa ya usimamizi wa Utekelezaji wa Malengo ya Maendeleo Endelevu ya (Lengo namba 9, Kipengele cha Miundombinu)
 

No comments:

Post a Comment