MENEJINENTI YA BUNGE YAKUTANA KUPITIA JARIDA YA SHUGHULI ZILIZOTEKELEZWA KUPITIA LSPII
Wajumbe wa Kikao cha Menejimenti ya Ofisi wa Bunge wakiwa katika Kikao kwa ajili ya kupitia na kuboresha Jarida la baadhi ya shughuli zilizotokelezwa kupitia Mradi wa Kuliwezesha Bunge (LSP II). Kikao kimefanyika katika Ofisi za Bunge Jijini Dodoma
No comments:
Post a Comment