WELCOME TO TANZANIA NATIONAL ASSEMBLY OFFICIAL BLOG: CONTACT US: P.O.BOX 941 DODOMA, TANZANIA, WEBSITE: parliament.go.tz , FIND US ON FACEBOOK >>> www.facebook.com/bungetz1, FOLLOW US ON TWITTER >>> @bunge_tz.>>>KARIBUNI

Friday, November 30, 2018

BENKI YA CRDB YAMKABIDHI SPIKA WA BUNGE VIFAA VYA MICHEZO KWA AJILI YA BUNGE SPORTS CLUB

Spika wa Bunge Mhe Job Ndugai (katikati) akizungumza na   Mkurugenzi wa Masoko, Utafiti na Huduma kwa Wateja wa Benki ya CRDB, Bi. Tully Esther Mwambapa (wa kwanza kulia) alipofika Ofisini kwake  kumkabidhi vifaa vya michezo kwa ajili ya Bunge Sports Club.
 Spika wa Bunge Mhe Job Ndugai (kulia) akipokea Jezi kutoka kwa Mkurugenzi wa Masoko, Utafiti na Huduma kwa Wateja wa Benki ya CRDB, Bi. Tully Esther Mwambapa (katikati) alipofika Ofisini kwake  kumkabidhi  vifaa vya michezo kwa ajili ya Bunge Sports Club anayeshuhudia ni Mkuu wa Huduma za Benki ya CRDB Serikalini, Benett Bankobeza (kushoto).

Spika wa Bunge Mhe Job Ndugai ( wa pili kulia) katika picha ya pamoja na Mkurugenzi wa Masoko, Utafiti na Huduma kwa Wateja wa Benki ya CRDB, Bi. Tully Esther Mwambapa (kulia),Mkuu wa Huduma za Benki ya CRDB Serikalini, Benett Bankobeza (wa pili kushoto) 

No comments:

Post a Comment