SPIKA WA BUNGE ATEMBELEWA NA WAGENI KUTOKA NAMIBIA
Spika wa Bunge, Mhe. Job Ndugai
akipokea zawadi kutoka kwa mgeni wake kutoka Nchini Namibia Ndugu
Desmond Amunyela aliyemtembelea Ofisini kwake Jijini Dodoma.mgeni huyo alieleza
kusudio la Namibia la kujenga Kituo cha Kimataifa Wilayani Kongwa cha Kumbukumbu ya Kupigania uhuru wa Nchi za
Kusini mwa Afrika.
Spika wa Bunge, Mhe. Job Ndugai
akizungumza na mgeni wake kutoka Nchini Namibia Ndugu Desmond Amunyela
aliyemtembelea Ofisini kwake Jijini Dodoma.Mgeni huyo alieleza kusudio la
Namibia la kujenga Kituo cha Kimataifa Wilayani Kongwa cha Kumbukumbu ya Kupigania uhuru wa Nchi za
Kusini mwa Afrika.
Spika wa Bunge, Mhe. Job Ndugai
akionyeshwa mchoro wa Kituo cha Kimataifa kitakachojengwa Wilayani Kongwa cha Kumbukumbu ya Kupigania uhuru wa Nchi za
Kusini mwa Afrika kutoka kwa Ndugu Desmond Amunyela aliyemtembelea Ofisini kwake
Jijini Dodoma aliyembatana na Ndugu Iyaloo ya Nangolo wote wakitokea Nchini
Namibia.
Spika wa Bunge, Mhe. Job Ndugai
akiwaonyesha Ukumbi wa Bunge la Tanzania wakeni wake kutoka Nchini Namibia
Ndugu Desmond Amunyela na Ndugu Iyaloo
ya Nangolo mara baada ya kumtembelea
Ofisini kwake Jijini Dodoma.wageni hao walieleza kusudio la Namibia la kujenga
Kituo cha Kimataifa Wilayani Kongwa cha
Kumbukumbu ya Kupigania uhuru wa Nchi za Kusini mwa Afrika.
No comments:
Post a Comment