Naibu Waziri wa Ardhi, Nyumba na
Maendeleo ya Makazi Mheshimiwa Angelina Mabula akifafanua hoja mbalimbali za
wajumbe wa Kamati ya Ardhi, Maliasili na Utalii. Kamati hiyo iliyokutana katika
Ofisi za Bunge Jijini Dodoma ambapo ilipokea na kujadili Taarifa ya Wizara ya
Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi kuhusu hali ya migogoro ya ardhi Nchini.
|
No comments:
Post a Comment