Mkurugenzi wa Idara ya Mipango,
Mazingira na Utafiti kutoka Baraza la Taifa la Uhifadhi na Usimamizi wa
Mazingira (NEMC) Ndugu Joseph Kombe
akiwasilisha taarifa Kuhusu uhifadhi wa maeneo lindwa pamoja na jitihada za
Serikali za kuyahifadhi maeneo hayo mbele ya kikao cha Kamati ya Bunge ya
Viwanda, Biashara na Mazingira kilichofanyika katika Ofisi za Bunge Jijini
Dodoma.Wa kwanza kuluia ni Mwenyekiti wa Kamati hiyo Mheshimiwa Sadiq Murad
|
No comments:
Post a Comment