Spika wa Bunge, Mhe. Job Ndugai akiwa katika picha ya pamoja na Waziri
Mkuu, Mhe. Kassim Majaliwa mara baada ya uzinduzi wa Mkakati na Mpango Kazi wa
Kujumuisha Masuala ya Jinsia Ndani ya Bunge uliofanyika leo katika Ukumbi wa
Msekwa Jijini Dodoma wengine ni Naibu Spika, Mhe. Tulia Ackson, Katibu wa Bunge
Ndugu Stephen Kagaigai, mwakilishi kutoka Shirika la Maendeleo la Umoja wa Mataifa
(UNDP) Ndugu Godfrey Mulisa (wa kwanza kushoto), wengine nyuma ni watendaji mbalimbali
wa Mradi wa kulijengea Bunge Uwezo (LSP).
|
No comments:
Post a Comment