Mbunge wa Liwale, Mohamed Kuchaukakila kiapo cha Uaminifu mbele ya Spika wa Bunge Mhe. Job Ndugai
Mbunge wa Korogwe Vijijini Mhe. Timotheo Mnzava akila kiapo cha Uaminifu Bungeni mbele ya Spika wa Bunge Mhe. Job Ndugai.
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akimpa mkono wa
pongezi Mbunge wa Liwale, Mohamed Kuchauka baada ya kula kiapo Bungeni jijini
Dodoma.
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akimpa mkono wa pongezi Mbunge wa Korogwe Vijijini baada ya kula kiapo Bungeni jijini Dodoma
No comments:
Post a Comment