Spika
wa Bunge Mhe. Job Ndugai akizungumza na Balozi wa Kuwait nchini Mubarak
Mohammed Alsehaijan alipotembelea Ofisini kwake Jijini Dodoma.
Spika wa Bunge Mhe. Job Ndugai akizungumza na Balozi wa Kuwait nchini Mubarak Mohammed Alsehaijan alipotembelea Ofisini kwake Jijini Dodoma.
Balozi
wa Kuwait nchini Mubarak Mohammed Alsehaijan akimpa Spika wa Bunge Mhe. Job Ndugai
zawadi alipomtembelea Ofisini kwake Jijini Dodoma.
Spika wa
Bunge Mhe. Job Ndugai katika picha ya pamoja na Balozi wa Kuwait nchini Mubarak
Mohammed Alsehaijan mara baada ya kuzungumza naye Ofisini kwake Jijini Dodoma.
No comments:
Post a Comment