Spika wa
Bunge Mhe. Job Ndugai akizungumza wakati akizundua Kikundi cha Wabunge cha Malengo
ya Maendeleo Endelevu (Parliamentary Group on Sustainable Development
Goals-SDGs) Jijini Dodoma.
Mwenyekiti wa Kikundi cha Wabuge wa Malengo ya Maendeleo Endelevu (Parliamentary Group on Sustainable Development Goals-SDGs) Mhe. Augustine Vuma akizungumza wakati wa uzinduzi wa kikundi hicho Jijini Dodoma.
Katibu wa Kikundi cha
Wabuge wa Malengo ya Maendeleo Endelevu (Parliamentary Group on Sustainable Development
Goals-SDGs) Mhe. Salome Makamba akizungumza wakati wa uzinduzi wa kikundi
hicho Jijini Dodoma.
Spika wa Bunge katika picha ya pamoja na Kikundi cha Wabunge kinachojishughulisha
na Malengo ya Maendeleo Endelevu (Parliamentary Group on Sustainable Development
Goals-SDGs) Jijini Dodoma.
No comments:
Post a Comment