Spika wa Bunge Mhe. Job Ndugai akizungumza na Balozi wa Falme za Nchi za Kiarabu Mhe. Khalifa Abdulrahman Almarzooqi alipomtembelea Ofisini kwake Jijini Dar es Salaam.
Balozi wa Falme za Nchi za Kiarabu Mhe. Khalifa Abdulrahman Almarzooqi akimuelezea jambo Spika wa Bunge Mhe. Job Ndugai alipomtembelea Ofisini kwake Jijini Dar es Salaam. |
Balozi wa Falme za Nchi za Kiarabu Mhe. Khalifa Abdulrahman Almarzooqi akimuelezea jambo Spika wa Bunge Mhe. Job Ndugai alipomtembelea Ofisini kwake Jijini Dar es Salaam.
Spika wa Bunge Mhe. Job Ndugai katika picha ya pamoja na Balozi wa Falme za Nchi za Kiarabu Mhe. Khalifa Abdulrahman Almarzooqi mara baada ya kuzungumza naye Ofisini kwake Jijini Dar es Salaam.
Mazungumzo yakiendelea.
No comments:
Post a Comment