WELCOME TO TANZANIA NATIONAL ASSEMBLY OFFICIAL BLOG: CONTACT US: P.O.BOX 941 DODOMA, TANZANIA, WEBSITE: parliament.go.tz , FIND US ON FACEBOOK >>> www.facebook.com/bungetz1, FOLLOW US ON TWITTER >>> @bunge_tz.>>>KARIBUNI

Thursday, November 29, 2018

SPIKA WA BARAZA LA SENETI LA BURUNDI AMTEMBELEA SPIKA NDUGAI

Spika wa Bunge Mhe. Job Ndugai akizungumza na Spika wa Baraza la Seneti la Burundi Mhe. Reverien Ndikuriyo (katikati) alipomtembelea Ofisini kwake Jijini Dar es Salaam. Kulia ni Balozi wa Burundi nchini Mhe. Prefere Ndayishimiye.


 Spika wa Bunge Mhe. Job Ndugai akimueleza jambo Spika wa Baraza la Seneti la Burundi Mhe. Reverien Ndikuriyo alipomtembelea Ofisini kwake Jijini Dar es Salaam. 
Spika wa Bunge Mhe. Job Ndugai akifurahia jambo Spika wa Baraza la Seneti la Burundi Mhe. Reverien Ndikuriyo alipomtembelea Ofisini kwake Jijini Dar es Salaam. 

Balozi wa Burundi nchini Mhe. Prefere Ndayishimiye (kulia)akimueleza jambo Spika wa Bunge Mhe. Job Ndugai wakati yeye na Spika wa Baraza la Seneti la Burundi Mhe. Reverien Ndikuriyo (katikati) walipomtembelea Ofisini kwake Jijini Dar es Salaam.

No comments:

Post a Comment