Spika wa Bunge Mhe. Job Ndugai akisalimiana na
Mwenyekiti wa Umoja wa Vijana wa Chama cha Mapinduzi (UVCCM) Taifa Ndg. James Kheri
alipomtembelea mapema leo Ofisini kwake Jijini Dodoma.
Spika wa Bunge Mhe. Job Ndugai akizungumza na Mwenyekiti wa Umoja wa Vijana wa Chama cha
Mapinduzi (UVCCM) Taifa Ndg. James Kheri alipomtembelea mapema leo Ofisini
kwake Jijini Dodoma.
Mhe. Job Ndugai katika picha ya pamoja na Mwenyekiti
wa Umoja wa Vijana wa Chama cha Mapinduzi (UVCCM) Taifa Ndg. James Kheri
alipomtembelea mapema leo Ofisini kwake Jijini Dodoma.
No comments:
Post a Comment