Spika wa Bunge Mhe. Job Ndugai akisalimiana na Balozi
wa Palestina nchini Hamdi AbuAli alipomtembelea mapema leo Ofisini kwake Jijini
Dodoma.
Spika wa Bunge Mhe. Job Ndugai akizungumza
na Balozi wa Palestina nchini Hamdi AbuAli alipomtembelea mapema leo Ofisini
kwake Jijini Dodoma.
Spika wa Bunge Mhe. Job Ndugai katika picha ya pamoja na Balozi wa Palestina nchini Hamdi AbuAli mara
baada ya kuzungumza naye mapema leo Ofisini kwake Jijini Dodoma.
Spika wa Bunge Mhe. Job Ndugai (wa pili kulia )katika
picha ya pamoja na Balozi wa Palestina
nchini Hamdi AbuAli (wa pili kushoto) mara baada ya kuzungumza naye mapema leo
Ofisini kwake Jijini Dodoma. Kushoto ni Mhe. Amina Makilagi na Kulia ni Mhe.
Lolesia Bukwimba.
No comments:
Post a Comment