KAMATI YA HUDUMA YA MAENDELEO YA JAMII YAPOKEA TAARIFA KUTOKA BODI YA MIKOPO
Mkurugenzi
Mtendaji wa Bodi ya Mikopo ya Elimu ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu (HESLB)
Ndg. Abdul Razaq Badru akiwasilisha
Taarifa ya utekelezaji wa majukumu na bajeti ya Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya juu kwa kipindi cha
nusu mwaka 2018/2019 mbele ya Kamati ya Huduma na Maendeleo ya Jamii katika Ukumbi wa Msekwa Jijini Dodoma hii leo..
Mjumbe wa Kamati ya Huduma na Maendeleo ya Jamii Mheshimiwa Hawa Ghasia akichangia jambo mbele ya Kamati hiyo ilipokuwa ikipokea na kujadili Taarifa ya utekelezaji wa majukumu na bajeti ya Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya juu kwa kipindi cha
nusu mwaka 2018/2019 katika Ukumbi wa Msekwa Jijini Dodoma hii leo.
Mwenyekiti wa Kamati ya Huduma na Maendeleo ya Jamii Mhe. Peter Selukamba akifafanua jambo mbele ya Kamati hiyo ilipokuwa ikipokea na kujadili Taarifa ya utekelezaji wa majukumu na bajeti ya Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya juu kwa kipindi cha
nusu mwaka 2018/2019 katika Ukumbi wa Msekwa Jijini Dodoma hii leo.
No comments:
Post a Comment