Mshauri wa mambo ya sheria Ofisi ya Bunge, Ndugu Thomas Shawa akiwapitisha wajumbe
wa Kamati ya Miundombinu katika Muswada Sheria ya Mamlaka ya Hali ya Hewa
Tanzania wa mwaka 2018 unaotarajiwa kuwasilishwa na Serikali katika Kamati hiyo
Januari 16, 2018. Wa kwanza ni mwenyekiti wa Kamati hiyo, Mhe. Moshi Kakoso.Kikao
hicho cha Kamati kimefanyika katika Ofisi za Bunge Jijini Dodoma.
|
No comments:
Post a Comment