Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi,
Mhe. Kangi Lugola akiwa katika kikao cha Kamati ya Bunge ya Mambo ya Nje,
Ulinzi na Usalama killichofanyika katika Ofisi za Bunge Jijini Dodoma ambapo wizara
yake iliwasilisha taarifa ya Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi kuhusu
utekelezaji wa bajeti ya wizara hiyo kwa kipindi cha Julai mpaka Desemba mwaka
2018.pembeni yake ni Katibu Mkuu wa Wizara hiyo, Meja Jenerali Jacob Kingu.
|
No comments:
Post a Comment