WELCOME TO TANZANIA NATIONAL ASSEMBLY OFFICIAL BLOG: CONTACT US: P.O.BOX 941 DODOMA, TANZANIA, WEBSITE: parliament.go.tz , FIND US ON FACEBOOK >>> www.facebook.com/bungetz1, FOLLOW US ON TWITTER >>> @bunge_tz.>>>KARIBUNI

Tuesday, February 5, 2019

MAFUNZO YA MAKATIBU WA WABUNGE YAENDELEA JIJINI DODOMA

Mkurugenzi Msaidizi Huduma kwa Wabunge wa Ofisi ya Bunge, 

Seleman Mvunye akitoa ufafanuzi wa jambo kwa makatibu wa 

waheshimiwa wabunge majimboni waliokuwa wakipatiwa

mafunzo ya kujengewa uwezo wa kutekeleza majukumu 

yao.mafunzo hayo yametolewa  na Ofisi ya Bunge chini ya mradi 

wa kulijengea Bunge Uwezo (LSP II) unaofadhiliwa na Shirika la 

Maendeleo la Umoja wa Mataifa (UNDP)

Mbunge wa Ilala, Mhe. Mussa Zungu akifunga mafunzo  kwa makatibu wa waheshimiwa wabunge majimboni kwa ajili ya kujengewa wa kutekeleza majukumu yao.mafunzo hayo yametolewa  na Ofisi ya Bunge chini ya mradi wa kulijengea Bunge Uwezo (LSP II) unaofadhiliwa na Shirika la Maendeleo la Umoja wa Mataifa (UNDP), kushoto kwake  ni Afisa wa Mradi wa LSP II Ndugu Angelus Turuka

Baadhi ya makatibu wa waheshimiwa wabunge majimboni wakipatiwa mafunzo ya kujengewa uwezo.mafunzo hayo yaliyofanyika katika Ofisi za Bunge Jijini Dodoma yametolewa  na Ofisi ya Bunge chini ya mradi wa kulijengea Bunge Uwezo (LSP II) unaofadhiliwa na Shirika la Maendeleo la Umoja wa Mataifa (UNDP).

No comments:

Post a Comment