Mwenyekiti wa Umoja wa Wabunge Wanawake Tanzania (TWPG), Mhe. Margaret Sitta akizunguma katika kikao cha baadhi ya wajumbe wa umoja huo pamoja na wafadhili wa Mradi wa Kulijengea Bunge Uwezo Awamu ya Pili (LSP II) kilichofanyika katika Ofisi za Bunge Jijini Dodoma.
Baadhi ya wajumbe Umoja wa Wabunge Wanawake Tanzania (TWPG), wakiwa katika kikao pamoja na wafadhili wa Mradi wa Kulijengea Bunge Uwezo Awamu ya Pili (LSP II) kilichofanyika katika Ofisi za Bunge Jijini Dodoma.
Wakurugenzi wa Idara na Vitengo katika Ofisi ya Bunge wakiwa katika Kikao cha pamoja na wafadhili wa Mradi wa Kulijengea Bunge Uwezo Awamu ya Pili (LSP II) kilichofanyika katika Ofisi za Bunge Jijini Dodoma.
Baadhi ya wafadhili wa Mradi wa Kulijengea Bunge Uwezo Awamu ya Pili (LSP II) wakifuatilia jambo Katika kikao cha pamoja na Wakurugenzi wa Idara na Vitengo katika Ofisi ya Bunge kilichofanyika katika Ofisi za Bunge Jijini Dodoma.
No comments:
Post a Comment