WAGENI MBALIMBALI WAENDELEA KUTEMBELEA BUNGE KWA LENGO LA KUJIFUNZA
Afisa
Itifaki wa Ofisi ya Bunge Ndg. Patson Sobha akifafanua jambo alipokuwa akitoa elimu
kwa Wageni mbalimbali waliotembelea Bunge kwa lengo la kujifunza namna Mhimili
huo unavyofanya kazi zake hii leo katika Ukumbi wa Pius Msekwa Jijini Dodoma.
Wanafunzi
kutoka Shule ya Sekondari Dakawa ya Mkoani Morogoro wakifuatilia kwa umakini
maelezo kutoka kwa Maafisa wa Bunge walipokuwa wakitoa elimu kwa Wageni
mbalimbali waliotembelea Bunge kwa lengo la kujifunza namna Mhimili huo
unavyofanya kazi zake hii leo katika Ukumbi wa Pius Msekwa Jijini Dodoma.
Wanafunzi
kutoka Chuo cha Elimu ya Biashara -CBE cha Jijini Dodoma wakifuatilia kwa
umakini maelezo kutoka kwa Maafisa wa Bunge walipokuwa wakitoa elimu kwa Wageni
mbalimbali waliotembelea Bunge kwa lengo la kujifunza namna Mhimili huo
unavyofanya kazi zake hii leo katika Ukumbi wa Pius Msekwa Jijini Dodoma.
No comments:
Post a Comment