WELCOME TO TANZANIA NATIONAL ASSEMBLY OFFICIAL BLOG: CONTACT US: P.O.BOX 941 DODOMA, TANZANIA, WEBSITE: parliament.go.tz , FIND US ON FACEBOOK >>> www.facebook.com/bungetz1, FOLLOW US ON TWITTER >>> @bunge_tz.>>>KARIBUNI

Wednesday, February 27, 2019

KAMATI YA AMANI YA MKOA WA DAR ES SALAAM YAMTEMBELEA KATIBU WA BUNGE OFISINI KWAKE

  Katibu wa Bunge Stephen Kagaigai (Kulia) akimsikiliza Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Dkt. Harison Mwakyembe alipomtembelea Ofisini kwake Bungeni Mjini Dodoma. Waziri Dkt. Mwakyembe aliongozana na Mwenyekiti wa Kamati ya Amani ya Mkoa wa Dar es Salaam, Sheikh Alhad Mussa Salim na Katibu wa Kamati hiyo  Mchungaji Jackson Sosthenes. 

  Katibu wa Bunge Stephen Kagaigai akimsikiliza Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Dkt. Harison Mwakyembe alipomtembelea Ofisini kwake Bungeni Mjini Dodoma.

Katibu wa Bunge Stephen Kagaigai akifurahi jambo na wageni wake Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Dkt. Harison Mwakyembe, Mwenyekiti wa Kamati ya Amani ya Mkoa wa Dar es Salaam, Sheikh Alhad Mussa Salim na Katibu wa Kamati hiyo  Mchungaji Jackson Sosthenes walipomtembelea Ofisini kwake Bungeni Mjini Dodoma

 Katibu wa Bunge Stephen Kagaigai akiwa katika picha ya pamoja na wageni wake Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Dkt. Harison Mwakyembe, Mwenyekiti wa Kamati ya Amani ya Mkoa wa Dar es Salaam, Sheikh Alhad Mussa Salim na Katibu wa Kamati hiyo  Mchungaji Jackson Sosthenes walipomtembelea Ofisini kwake Bungeni Mjini Dodoma.




No comments:

Post a Comment