Wajumbe wa Baraza la Wafanyakazi
la Ofisi ya Bunge wakiongozwa na Katibu wa Bunge, Ndugu Stephen Kagaigai wakiwa
katika kikao cha Baraza kwa ajili ya kupitisha Makadirio ya Mapato na Matumizi
ya Mfuko wa Bunge kwa mwaka wa fedha 2019/2020.Kikao hicho kimefanyika Machi
18, 2019 katika Ofisi za Bunge Jijini Dodoma.
|
No comments:
Post a Comment