WAZIRI MKUCHIKA AKUTANA NA KAMATI YA UTAWALA NA SERIKALI ZA MITAA
Mwenyekiti
wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Utawala
na Serikali za Mitaa Mheshimiwa Jasson Rweikiza akifafanua jambo mbele ya
Wajumbe wa Kamati hiyo ilipokutana na Wizara ya Nchi, Ofisi ya Rais, Utumishi
na Utawala Bora ili kupitia maombi ya Bajeti ya Wizara hiyo kwa mwaka wa fedha
2019/ 2020 katika Ukumbi wa Msekwa Jijini Dodoma
Mjumbe
wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Utawala
na Serikali za Mitaa Mheshimiwa Venance Mwamoto akichangia jambo mbele ya
Wajumbe wa Kamati hiyo ilipokutana na Wizara ya Nchi, Ofisi ya Rais, Utumishi
na Utawala Bora ili kupitia maombi ya Bajeti ya Wizara hiyo kwa mwaka wa fedha
2019/ 2020 katika Ukumbi wa Msekwa Jijini Dodoma.
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Utumishi na
Utawala Bora Mheshimiwa Kapt. George
Mkuchika akielezea jambo mbele ya Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Utawala na Serikali za Mitaa kwenye
Ukumbi wa Msekwa Jijini Dodoma alipowasilisha maombi ya Bajeti ya Wizara hiyo
kwa mwaka wa fedha 2019/ 2020. Kushoto niNaibu Waziri, Ofisi ya Rais Utumishi na Utawala Bora,
Mheshimiwa Dkt. Mary Mwanjelwa.
No comments:
Post a Comment