WELCOME TO TANZANIA NATIONAL ASSEMBLY OFFICIAL BLOG: CONTACT US: P.O.BOX 941 DODOMA, TANZANIA, WEBSITE: parliament.go.tz , FIND US ON FACEBOOK >>> www.facebook.com/bungetz1, FOLLOW US ON TWITTER >>> @bunge_tz.>>>KARIBUNI

Saturday, March 9, 2019

KAMATI YA BAJETI WAPEWA MAFUNZO KUHUSU MASUALA YA JINSIA

Mwenyekiti wa Kamati ya Bunge ya Bajeti, Mhe. George Simbachawene wa kwanza kushoto, akifuatilia mada katika mafunzo kwa Kamati hiyo kuhusu  kuhusu umuhimu wa kuzingatia masuala ya jinsia wakati wa kupanga bajeti yaliyofanyika Jijini Arusha. Anayefuata ni Mratibu wa Mradi wa Kulijengea Uwezo Bunge Awamu ya Pili (LSP), Ndugu Mary Lasway na Ndugu Takawila Msalengana kutoka Shirika la Maendeleo la Umoja wa Mataifa (UNDP).
Baadhi ya wajumbe wa Kamati ya Bunge ya Bajeti, wakifuatilia mafunzo kuhusu umuhimu wa kuzingatia masuala ya jinsia wakati wa kupanga bajeti.Mafunzo hayo yaliyofanyika Jijini Arusha yamedhaminiwa na Shirika la Maendeleo la Umoja wa Mataifa (UNDP) chini ya Mradi wa Kulijengea Bunge Uwezo (LSP II).

Wajumbe wa Kamati ya Bunge ya Bajeti, wakihudhuria mafunzo kuhusu umuhimu wa kuzingatia masuala ya jinsia wakati wa kupanga bajeti.Mafunzo hayo yaliyofanyika Jijini Arusha yamedhaminiwa na Shirika la Maendeleo la Umoja wa Mataifa (UNDP) chini ya Mradi wa Kulijengea Bunge Uwezo (LSP II).

No comments:

Post a Comment