Mwenyekiti wa Kamati ya Bunge ya
Bajeti, Mhe. George Simbachawene akifungua mafunzo kwa Kamati hiyo kuhusu mbinu
na utaratibu wa kufuatilia utekelezaji wa mipango na programu mbalimbali za
Serikali. Mafunzo hayo yaliyofanyika Jijini Arusha yamedhaminiwa na Shirika la Maendeleo
la Umoja wa Mataifa (UNDP) chini ya Mradi wa Kulijengea Bunge Uwezo (LSP II).

Wajumbe wa Kamati ya Bunge ya
Bajeti, wakihudhuria mafunzo kuhusu mbinu na utaratibu wa kufuatilia utekelezaji wa
mipango na programu mbalimbali za Serikali. Mafunzo hayo yaliyofanyika Jijini
Arusha yamedhaminiwa na Shirika la Maendeleo la Umoja wa Mataifa (UNDP) chini
ya Mradi wa Kulijengea Bunge Uwezo (LSP II).
Wajumbe wa Kamati ya Bunge ya
Bajeti, wakifuatilia mada katika mafunzo kuhusu mbinu na utaratibu wa kufuatilia utekelezaji wa
mipango na programu mbalimbali za Serikali. Mafunzo hayo yaliyofanyika Jijini
Arusha yamedhaminiwa na Shirika la Maendeleo la Umoja wa Mataifa (UNDP) chini
ya Mradi wa Kulijengea Bunge Uwezo (LSP II)
No comments:
Post a Comment