Mwenyekiti wa Kamati ya Bunge ya
Bajeti, Mhe. George Simbachawene akizungumza katika kikao kati ya Kamati hiyo na
uongozi wa Halmashauri ya Jiji la Arusha,kulia kwake ni Kaimu Meya wa Jiji la
Arusha, Mhe. Ali Banange na kushoto kwake ni Katibu wa Kamati hiyo Ndugu
Michael Kadebe. Kamati ilitembelea Halmashauri hiyo kwa lengo la kuangalia utekelezaji wa Mfumo Akaunti Jumuifu (TSA).
|
No comments:
Post a Comment