Wajumbe wa Kamati ya Bunge ya
Bajeti, wakiwa katika kikao cha pamoja na uongozi wa Mamalaka ya Mapato Tanzania
(TRA) Mkoa wa Arusha wakati Kamati hiyo
ilipotembelea ofisi za Mamlaka hiyo na kupatiwa ufafanuzi wa masuala mbalimbali
kuhusiana na jinsi Mfumo wa Stempu za Kielektroniki (ETS) unavyofanya kazi.
 |
Mwenyekiti
wa Kamati ya Bunge ya Bajeti,Mhe George Simbachawene akizungumza katika kikao
cha pamoja kati ya Kamati yake na uongozi wa Mamalaka ya Mapato Tanzania (TRA) Mkoa wa Arusha wakati Kamati hiyo
ilipotembelea ofisi za Mamlaka hiyo na kupatiwa ufafanuzi wa masuala mbalimbali
kuhusiana na jinsi Mfumo wa Stempu za Kielektroniki (ETS) unavyofanya kazi |
No comments:
Post a Comment