Wajumbe wa Kamati ya Bunge ya Bajeti wakiongozwa na
Mwenyekiti, Mhe. George Simbachawene wakiangalia mitambo iliyotumika
kutengeneza matairi katika kiwanda cha General Tyre kilichoko Arusha, mwenye suti
nyeusi ni Mkurugenzi wa Shirika la Maendeleo (NDC), Profesa Damian Gabagambi. Wajumbe
hao wapo katika ziara ya siku tano Mkoani Arusha
|
No comments:
Post a Comment