WAJUMBE WA KAMATI YA BAJETI WAANZA ZIARA MKOANI ARUSHA
Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Mhe. Mrisho Gambo akizungumza na
wajumbe wa Kamati ya Bunge ya Bajeti ofisini kwake wakati Kamati hiyo
ilipomtembelea kabla ya kuanza ziara yake katika Mkoa huo.
Wajumbe wa Kamati ya Bunge ya Bajeti wakiwa katika picha ya
pamoja na Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Mhe. Mrisho Gambo wakati Kamati hiyo
ilipomtembelea ofisini kwake kabla ya kuanza ziara yake katika Mkoa huo.
No comments:
Post a Comment