WELCOME TO TANZANIA NATIONAL ASSEMBLY OFFICIAL BLOG: CONTACT US: P.O.BOX 941 DODOMA, TANZANIA, WEBSITE: parliament.go.tz , FIND US ON FACEBOOK >>> www.facebook.com/bungetz1, FOLLOW US ON TWITTER >>> @bunge_tz.>>>KARIBUNI

Friday, March 22, 2019

KAMATI YA UTAWALA NA SERIKALI ZA MITAA YAJADILI BAJETI YA MKOA WA TABORA


Mjumbe wa Kamati ya kudumu ya Bunge ya Utawala na Serikali za Mitaa Mheshimiwa Hamad Maalim akichangia jambo wakati Kamati hiyo ikipokea taarifa ya utekelezaji wa bajeti ya mwaka wa fedha 2018/2019 pamoja na makadirio ya mapato na matumizi kwa mwaka wa fedha 2019/2020 ya Mkoa wa Tabora kwenye Ukumbi wa Msekwa Jijini Dodoma hii leo. 

Mkuu wa Mkoa wa Tabora Mheshimiwa Agrey Mwanri akiwasilisha taarifa ya utekelezaji wa bajeti ya mwaka wa fedha 2018/2019 pamoja na makadirio ya mapato na matumizi ya kwa mwaka wa fedha 2019/2020 ya Mkoa huo mbele ya Kamati ya kudumu ya Bunge ya Utawala na Serikali za Mitaa kwenye Ukumbi wa Msekwa Jijini Dodoma hii leo.
Wajumbe wa Kamati ya kudumu ya Bunge ya Utawala na Serikali za Mitaa wakifuatilia taarifa ya utekelezaji wa bajeti ya mwaka wa fedha 2018/2019 pamoja na makadirio ya mapato na matumizi kwa mwaka wa fedha 2019/2020 ya Mkoa wa Tabora kwenye Ukumbi wa Msekwa Jijini Dodoma hii leo. 

No comments:

Post a Comment