Mwenyekiti wa Timu ya Michezo ya Bunge (Bunge Sports Club), Mhe. William Ngereja akizungumza na waandishi wa habari kuitakia heri Timu ya Soka ya Taifa (Taifa Stars) katika mchezo wake wa kufuzu michuano ya Mataifa ya Afrika (AFCON) dhidi ya Uganda inatoyatarajiwa kuchezwa tarehe 24 Machi, 2019 Jijini Dar es Salaam, Mkutano huo ulifanyika katika Ofisi za Bunge Jijini Dodoma. |
No comments:
Post a Comment