NAIBU SPIKA AFUNGUA KIKAO CHA BARAZA LA MAZIWA MAKUU (FP-ICGLR) JIJINI ARUSHA
Naibu
Spika wa Bunge la Tanzania Mheshimiwa Dkt. Tulia Ackson akifungua kikao cha
Tano cha Amani na Usalama cha Baraza la Wabunge wa Mabunge ya Jumuiya ya nchi
za Maziwa makuu (FP-ICGLR) kilichofanyika hii leo Jijini Arusha.
Naibu Spika wa Bunge la Tanzania Mheshimiwa Dkt.
Tulia Ackson akiwa katika picha ya pamoja na Wajumbe wa kikao cha Tano cha
Amani na Usalama cha Baraza la Wabunge wa Mabunge ya Jumuiya ya nchi za Maziwa
makuu (FP-ICGLR) kilichofanyika hii leo Jijini Arusha.
No comments:
Post a Comment