WELCOME TO TANZANIA NATIONAL ASSEMBLY OFFICIAL BLOG: CONTACT US: P.O.BOX 941 DODOMA, TANZANIA, WEBSITE: parliament.go.tz , FIND US ON FACEBOOK >>> www.facebook.com/bungetz1, FOLLOW US ON TWITTER >>> @bunge_tz.>>>KARIBUNI

Tuesday, March 26, 2019

KAMATI YA VIWANDA, BIASHARA NA MAZINGIRA YAKUTANA NA WATENDAJI WA TBS

 Wajumbe wa Kamati ya Bunge ya Viwanda, Biashara na Mazingira wakiongozwa na Mwenyekiti Mhe. Sadiq Murad wakiwa katika kikao katika Ofisi za Bunge Jijini Dodoma ambapo walikutana na watendaji wa Shirika la Viwango Tanzania (TBS).
Mwenyekiti wa Kamati ya Viwanda, Biashara na Mazingira  Mhe. Sadiq Murad akiongoza kikao cha Kamati hiyo kilichofanyika katika Ofisi za Bunge Jijini Dodoma ambapo walikutana na watendaji wa Shirika la Viwango Tanzania (TBS), pembeni ni Katibu wa Kamati, Zainabu Mkamba.

Wajumbe wa Kamati ya Bunge ya Viwanda, Biashara na Mazingira wakiongozwa na Mwenyekiti Mhe. Sadiq Murad wakiwa katika kikao katika Ofisi za Bunge Jijini Dodoma ambapo leo walikutana na watendaji wa Shirika la Viwango Tanzania (TBS), pichani ni mjumbe wa Kamati hiyo, Mhe. Godbles Lema akichangia jambo katika kikao hicho.

Naibu Waziri wa Viwanda na Biashara, Mhe. Stella Manyanya akichangia jambo katika kikao cha Kamati ya Viwanda, Biashara na Mazingira kilichokutana leo katika Ofisi za Bunge Jijini Dodoma

No comments:

Post a Comment