WELCOME TO TANZANIA NATIONAL ASSEMBLY OFFICIAL BLOG: CONTACT US: P.O.BOX 941 DODOMA, TANZANIA, WEBSITE: parliament.go.tz , FIND US ON FACEBOOK >>> www.facebook.com/bungetz1, FOLLOW US ON TWITTER >>> @bunge_tz.>>>KARIBUNI

Monday, May 6, 2019

KATIBU WA BUNGE ATEMBELEWA NA MWAKILISHI KUTOKA UNDP

Katibu wa Bunge, Ndugu Stephen Kagaigai akimsikiliza Kaimu Muwakilishi Mkazi wa Shirika la Maendeleo la Umoja wa Mataifa (UNDP), Ndugu Natalie Bovely alipomtembelea ofisini kwake Jijini Dodoma.
Katibu wa Bunge, Ndugu Stephen Kagaigai akimsikiliza Kaimu Muwakilishi Mkazi wa Shirika la Maendeleo la Umoja wa Mataifa (UNDP), Ndugu Natalie Bovely alipomtembelea ofisini kwake Jijini Dodoma. Mgeni huyo aliambatana na Mshauri Mkuu wa Mradi wa Kulijengea Bunge Uwezo (LSP), Ndugu Takawira Musavengana  na Mratibu wa mradi huo Ndugu Mary Lasway. 
Katibu wa Bunge, Ndugu Stephen Kagaigai akipokea zawadi kutoka kwa Kaimu Muwakilishi Mkazi wa Shirika la Maendeleo la Umoja wa Mataifa (UNDP), Ndugu Natalie Bovely alipomtembelea ofisini kwake Jijini Dodoma.

No comments:

Post a Comment