WELCOME TO TANZANIA NATIONAL ASSEMBLY OFFICIAL BLOG: CONTACT US: P.O.BOX 941 DODOMA, TANZANIA, WEBSITE: parliament.go.tz , FIND US ON FACEBOOK >>> www.facebook.com/bungetz1, FOLLOW US ON TWITTER >>> @bunge_tz.>>>KARIBUNI

Monday, May 6, 2019

SPIKA WA BUNGE ATEMBELEWA NA MUWAKILISHI UNDP

Spika wa Bunge, Mheshimiwa Job Ndugai  akizungumza na Kaimu Muwakilishi Mkazi wa Shirika la Maendeleo la Umoja wa Mataifa (UNDP), Ndugu Natalie Bovely alipomtembelea nyumbani  kwake Jijini Dodoma. Mgeni huyo aliambatana na Mshauri Mkuu wa Mradi wa Kulijengea Bunge Uwezo (LSP II), Ndugu Takawira Musavengana  na Mratibu wa mradi huo Ndugu Mary Lasway.
Spika wa Bunge, Mheshimiwa Job Ndugai akizungumza na Kaimu Muwakilishi Mkazi wa Shirika la Maendeleo la Umoja wa Mataifa (UNDP), Ndugu Natalie Bovely alipomtembelea nyumbani  kwake Jijini Dodoma. 
Spika wa Bunge, Mheshimiwa Job Ndugai akipokea zawadi kutoka kwa Kaimu Muwakilishi Mkazi wa Shirika la Maendeleo la Umoja wa Mataifa (UNDP), Ndugu Natalie Bovely alipomtembelea nyumbani kwake kwake Jijini Dodoma.

No comments:

Post a Comment