MREMBO WA DUNIA WA UANDISHI WA HABARI ATEMBELEA BUNGE
Mrembo
wa Dunia wa Uandishi wa Habari (Miss World Journalism 2018) Nina Yevtushenko
kutoka Nchini Ukraine atembelea Bunge na kujionea namna Vikao vinavyoendeshwa
hii leo Jijini Dodoma. (Picha na Ofisi ya Bunge)
No comments:
Post a Comment