Balozi wa Uswisi nchini Bi. Florence Tinguely Mattli (aliyesimama)
akitambulishwa Bungeni na Spika wa Bunge Mhe. Job Ndugai (hayupo pichani). Balozi huyo alifika Ofisini kwa Mhe. Spika kumuaga baada ya
kumaliza muda wake.
Spika wa Bunge Mhe. Job Ndugai akufurahi
jambo wakati akizungumza na Balozi wa Uswisi nchini Bi. Florence Tinguely
Mattli aliyefika Ofisini kwake kumuaga baada ya kumaliza muda wake .
Spika wa Bunge Mhe. Job Ndugai akimueleza
jambo Balozi wa Uswisi nchini Bi. Florence Tinguely Mattli aliyefika Ofisini
kwake kumuaga baada ya kumaliza muda wake .
Spika wa Bunge Mhe. Job Ndugai katika picha ya pamoja
na Balozi wa Uswisi nchini Bi. Florence Tinguely Mattli aliyefika Ofisini kwake
kumuaga baada ya kumaliza muda wake.
Katibu wa Bunge Ndg. Stephen Kagaigai
akisalimiana na Balozi wa Uswisi nchini Bi. Florence Tinguely Mattli aliyefika
Ofisini kwa Mhe. Spika kumuaga baada ya kumaliza muda wake.
No comments:
Post a Comment