Naibu Spika wa Bunge, Mhe. Dkt. Tulia
Ackson akizungumza na Kaimu Mkurugenzi Mkazi wa Shirika la Maendeleo la Umoja
wa Mataifa (UNDP), Ndugu Verity Nyagah alipomtembelea ofisini kwake Bungeni
Jijini Dodoma. Mkurugenzi
huyo aliambatana na viongozi mbalimbali wanaosimamia Mradi wa Kulijengea Bunge
Uwezo (LSP)
|
No comments:
Post a Comment