MAAFISA WA BUNGE WAKITOA ELIMU KWA UMMA KUHUSU BUNGE KATIKA MAONYESHO YA 43 YA SABASABA YANAYOENDELEA JIJINI DAR ES SALAAM
Maafisa wa Bunge wakitoa Elimu kwa Umma kuhusu
Bunge kwa Wageni mbalimbali waliotembelea Banda la Bunge lililopo katika
Maonyesho ya 43 ya Kimataifa ya Sabasaba Jijini Dar es Salaam hii leo
Afisa wa Bunge Ndg. Thomas Shawa akitoa Elimu kwa Umma kuhusu
Bunge kwa Wageni mbalimbali waliotembelea Banda la Bunge lililopo katika
Maonyesho ya 43 ya Kimataifa ya Sabasaba Jijini Dar es Salaam hii leo
Afisa wa Bunge Ndg. James Sapali akitoa Elimu kwa Umma kuhusu
Bunge kwa Wageni mbalimbali waliotembelea Banda la Bunge lililopo katika
Maonyesho ya 43 ya Kimataifa ya Sabasaba Jijini Dar es Salaam hii leo
No comments:
Post a Comment