Mwenyekiti wa Kamati ya Ukimwi, Mhe. Oscer Mukasa
akizungumza katika semina kwa wajumbe wa ‘caucus’
ya Ukimwi na TB. Semina hiyo ililenga
kuwajengea wabunge uelewa kuhusu hali halisi ya maambukizi ya Virusi vya Ukimwi
na Kifua Kikuu nchini.
Katibu wa Kamati ya Huduma na Maendeleo ya Jamii, Agnes Nkwera
akitoa mada katika semina kwa wajumbe wa ‘caucus’
ya Ukimwi na TB. Semina hiyo ililenga
kuwajengea wabunge uelewa kuhusu hali halisi ya maambukizi ya Virusi vya Ukimwi
na Kifua Kikuu nchini.
Wajumbe wa ‘caucus’ ya Ukimwi na TB wakifuatilia mada katika
semina iliyofanyika Bungeni Jjjini Dodoma. Semina hiyo ililenga kuwajengea wabunge
uelewa kuhusu hali halisi ya maambukizi ya Virusi vya Ukimwi na Kifua Kikuu nchini.
No comments:
Post a Comment