Katibu wa Bunge, Ndugu Stephen
Kagaigai akiwa katika picha ya pamoja na Jaji Mfawidhi wa Mahakama Kuu Kanda ya
Dodoma, Mhe. Lameck Mlacha wakati Jaji huyo alipomtembelea Ofisini kwake
Bungeni Jijini Dodoma.
Katibu wa Bunge, Ndugu Stephen
Kagaigai akiagana na Jaji Mfawidhi wa Mahakama Kuu Kanda ya
Dodoma, Mhe. Lameck Mlacha mara baada ya Jaji huyo kumtembelea Ofisini kwake
Bungeni Jijini Dodoma.
|
No comments:
Post a Comment