Spika wa Bunge,
Mhe. Job Ndugai amewasili Uwanja wa Ndege wa Zanzibar kwa ajili ya kuhudhuria
Mkutano wa 50 wa Mabunge ya Nchi za Jumuiya ya Madola (CPA), Kanda ya Afrika,
katikati ni Mwenyekiti wa CPA Tawi la Zanzibar, Mhe. Simai Mohammed Said na Katibu
wa CPA Kanda ya Afrika, Ndugu Stephen Kagaigai. Mkutano huo utaanza Agosti 30
hadi Septemba 5, 2019 katika Hoteli ya Madinat Al Bahr Business and Spa.
|
No comments:
Post a Comment