|
Naibu Spika, Mhe. Dkt. Tulia Ackson akimkaribisha Naibu
Spika wa Bunge la Jamhuri ya Afrika ya Kusini, Mhe. Lechesa Tsenoli wakati
walipokutana katika Hoteli ya Madinat Al Bahr Business and Spa. Viongozi hao
wapo visiwani Zanzibar kwa ajili ya kushiriki Mkutano wa 50 wa Mabunge ya Nchi
za Jumuiya ya Madola (CPA), Kanda ya Afrika.
|
|
Naibu Spika,Mhe. Dkt. Tulia Ackson akizungumza na Naibu Spika wa
Bunge la Jamhuri ya Afrika ya Kusini, Mhe. Lechesa Tsenoli katika Hoteli ya
Madinat Al Bahr Business and Spa. Viongozi hao wapo visiwani Zanzibar kwa ajili
ya kushiriki Mkutano wa 50 wa Mabunge ya Nchi za Jumuiya ya Madola (CPA), Kanda
ya Afrika.
|
|
Naibu Spika, Mhe. Dkt. Tulia Ackson akiwa pamoja na Naibu Spika wa Bunge la Jamhuri ya Afrika ya Kusini, Mhe. Lechesa Tsenoli wakifurahia dafu wakati walipotembelea shamba la viungo (Spice farm) visiwani Zanzibar. Viongozi hao wapo visiwani humo kwa ajili ya kushiriki Mkutano wa 50 wa Mabunge ya Nchi za Jumuiya ya Madola (CPA), Kanda ya Afrika.
|
Naibu Spika, Mhe. Dkt. Tulia Ackson akipewa zawadi ya bangili wakati
yeye na Naibu Spika wa Bunge la Jamhuri ya Afrika ya Kusini, Mhe. Lechesa
Tsenoli walipotembelea shamba la viungo (Spice farm) visiwani Zanzibar. Viongozi hao wapo visiwani
humo kwa ajili ya kushiriki Mkutano wa 50 wa Mabunge ya Nchi za Jumuiya ya
Madola (CPA), Kanda ya Afrika.
|
Naibu Spika,Mhe. Dkt. Tulia Ackson pamoja na Naibu Spika wa
Bunge la Jamhuri ya Afrika ya Kusini, Mhe. Lechesa Tsenoli wakitazama viungo
mbalimbali wakati walipotembelea shamba la viungo (Spice farm) visiwani Zanzibar. Viongozi hao wapo visiwani
humo kwa ajili ya kushiriki Mkutano wa 50 wa Mabunge ya Nchi za Jumuiya ya
Madola (CPA), Kanda ya Afrika.
|
No comments:
Post a Comment