Spika wa Bunge na
Mwenyekiti wa Bodi ya Uwekezaji ya Chama cha Mabunge ya Nchi za Jumuiya ya
Madola (CPA), Kanda ya Afrika , Mhe. Job Ndugai wa pili (kulia) akizungumza
katika kikao cha Kamati ya Utendaji ya CPA, Kanda ya Afrika, anayefuata kulia
kwake ni Mwenyekiti wa Kamati ya Utendaji ya CPA, Mhe. Justin Muturi, Naibu Mwenyekiti
wa Kamati hiyo, Mhe. Aaron Mwansa Mbulakulima, Mhe. Emilia Monjowa Lifaka,
Mwenyekiti wa
Kamati ya Utendaji wa Chama cha Mabunge ya Jumuiya ya Madola
Kimataifa (CPA -
INTERNATIONAL), Mhe.Elijah Okupa,
Naibu Mweka Hazina wa CPA Kanda ya
Afrika na
kushoto kwa Mhe. Spika ni
Katibu wa CPA Kanda ya
Afrika, Ndugu Stephen Kagaigai. kikao hicho
kimefanyika
katika Hoteli ya Madinat Al Bahr Business
and Spa Hoteli iliyoko visiwani
Zanzibar
|