Mwenyekiti
wa Chama cha Makatibu Mezani cha Mabunge ya Nchi za Jumuiya ya Madola (SoCATT), ambaye
pia ni Katibu wa Bunge la Zambia, Ndugu
Cesilia Mbewe akizungumza katika Mkutano
wa Mwaka wa chama hicho uliofanyika katika Hoteli ya Madinat Al Bahr Visiwani
Zanzibar. Kulia ni Makamu Mwenyekiti wa Chama hicho, Ndugu Michael Sialai na
kushoto ni Katibu Mezani wa Bunge la Zambia, Ndugu Elsio Simpamba.
Wajumbe
wa Chama cha Makatibu Mezani cha Mabunge
ya Nchi za Jumuiya ya Madola (SoCATT), wakiwa katika Mkutano wa Mwaka wa chama hicho
uliofanyika katika Hoteli ya Madinat Al Bahr Visiwani Zanzibar.
No comments:
Post a Comment