WELCOME TO TANZANIA NATIONAL ASSEMBLY OFFICIAL BLOG: CONTACT US: P.O.BOX 941 DODOMA, TANZANIA, WEBSITE: parliament.go.tz , FIND US ON FACEBOOK >>> www.facebook.com/bungetz1, FOLLOW US ON TWITTER >>> @bunge_tz.>>>KARIBUNI

Sunday, September 1, 2019

KAMATI YA UTENDAJI YA CPA - KANDA YA AFRIKA YAKUTANA ZANZIBAR

Spika wa Bunge na Mwenyekiti wa Bodi ya Uwekezaji ya Chama cha Mabunge ya Nchi za Jumuiya ya Madola (CPA), Kanda ya Afrika , Mhe. Job Ndugai wa pili (kulia) akizungumza katika kikao cha Kamati ya Utendaji ya CPA, Kanda ya Afrika, anayefuata kulia kwake ni Mwenyekiti wa Kamati ya Utendaji ya CPA, Mhe. Justin Muturi, Naibu Mwenyekiti wa Kamati hiyo, Mhe. Aaron Mwansa Mbulakulima, Mhe. Emilia Monjowa Lifaka, Mwenyekiti wa Kamati ya Utendaji wa Chama cha Mabunge ya Jumuiya ya Madola 

Kimataifa (CPA - INTERNATIONAL), Mhe.Elijah Okupa, 

Naibu Mweka Hazina wa CPA Kanda ya Afrika  na 

kushoto kwa Mhe. Spika ni Katibu wa CPA Kanda ya 

Afrika, Ndugu Stephen Kagaigai. kikao hicho 

kimefanyika katika Hoteli ya Madinat Al Bahr Business 

and Spa Hoteli iliyoko visiwani Zanzibar

Viongozi mbalimbali wa Chama cha Mabunge ya Jumuiya ya Madola (CPA)Kanda ya Afrika wakiwa katika kikao cha Kamati ya Utendaji ,wa kwanza kulia ni Katibu wa CPA Kanda ya Afrika, Ndugu Stephen Kagaigai, Mhe. Job Ndugai, Mwenyekiti wa Bodi ya Uwekezaji ya Chama cha Mabunge ya Nchi za Jumuiya ya Madola (CPA), Kanda ya Afrika , Mhe. Justin Muturi Mwenyekiti wa Kamati ya Utendaji ya CPA, Kanda ya Afrika, Mhe. Aaron Mwansa Mbulakulima, Naibu Mwenyekiti wa Kamati ya Utendaji ya CPA Afrika, Mhe. Emilia Monjowa Lifaka, Mwenyekiti wa Kamati ya Utendaji ya CPA Kimataifa (CPA - INTERNATIONAL) na Mhe . Elijah Okupa, Naibu Mweka Hazina wa CPA Kanda ya Afrika .Kikao hicho kimefanyika katikaa Hoteli ya Madinat Al Bahr Business and Spa Hoteli iliyoko visiwani Zanzibar

Mwenyekiti wa Kamati ya Utendaji ya Chama cha Jumuiya ya Madola (CPA) Kimataifa (CPA - INTERNATIONAL), Mhe. Emilia Monjowa Lifaka, akizungumza katika akizungumza katika kikao cha Kamati ya Utendaji ya CPA, Kanda ya Afrika, anayefuata kushoto kwake ni Mhe. Aaron Mwansa Mbulakulima, Naibu Mwenyekiti wa Kamati ya Utendaji ya CPA Afrika, Mhe. Justin Muturi Mwenyekiti wa Kamati ya Utendaji ya CPA, Kanda ya Afrika Mhe. Job Ndugai, Mwenyekiti wa Bodi ya Uwekezaji ya CPA Afrika, Ndugu Stephen Kagaigai, Katibu wa CPA Kanda ya Afrika na kushoto kulia kwa Mhe Lifaka ni Mhe . Elijah Okupa, Naibu Mweka Hazina wa CPA Kanda ya Afrika. Kikao hicho kimefanyika katika Hoteli ya Madinat Al Bahr Business and Spa Hoteli iliyoko visiwani Zanzibar


No comments:

Post a Comment